Ujenzi wa stendi mpya Bukoba 'hati hati', fedha zapelekwa kukarabati kituo cha zamani
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-08-15
Просмотров: 1140
Описание:
Ujenzi wa stendi mpya ya mabasi katika manispaa ya Bukoba umegeuka kizungumkuti baada ya manispaa hiyo kubadilisha matumizi ya Shilingi bilioni moja zilizopangwa kujengea kituo kipya cha mabasi katika eneo la Kyakailabwa na badala yake kuamuliwa kutumika katika ukarabati wa kituo cha mabasi cha zamani cha Bukoba huku mkandarasi aliyekabidhiwa eneo la Kyakailabwa akiwa tayari ameshaanza hatua za awali za ujenzi katika eneo katika eneo hilo.
#AzamTVUpdates #KituoChaDaladala #Bukoba #StendiMpyaBukoba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: