Bukoba wapata matumaini ya kupata kituo kipya cha mabasi
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-04-03
Просмотров: 2728
Описание:
Watumiaji wa kituo cha mabasi cha Bukoba mkoani Kagera wapo mbioni kuondokana na adha ya uchakavu na ufinyu wa eneo hilo baada ya mkandarasi MS Kajuna Investment kukabidhiwa kazi ya kuendeleza mradi wa ujenzi wa kituo kipya.
#AzamTVUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: