Stendi mpya ya Bus Bukoba. Bado siku 85 wakabidhi kazi, Ujenzi umefikia hatua hii!
Автор: InfoScopeTv
Загружено: 2023-06-07
Просмотров: 1770
Описание:
April mwaka huu viongozi wa serikali na viongozi wa kuchaguliwa walitangaza kuanza hatua za awali za ujenzi wa stendi mpya ya kisasa eneo la Kyakailabwa.
Wakati wa uzinduzi huo ilielezwa kuwa muda wa mkataba ni siku 150 kwa kazi iliyopangwa. Maana yake kazi husika na nini kingefanyika ilitakiwa kukamilika mwezi sept mwaka huu.
Sasa mtazamaji leo ni mwezi june takribani siku 65 zimepita tangu itangazwe hivyo. Yahani bado siku 85 wakabidhi kazi.
Sasa sisi Uchumi TV. Pesa Mkononi tunkuonesha hatua iliyofikiwa. Yahani siku 65 kumefanyika nini.
Twende pamoja..
Mjadala kutoka studio juu ya stendi ya Bukoba ilivyo kwa sasa unaweza kutazama hapa.
• RC FATUMA MWASA KUKUZA UCHUMI WA KAGERA?
We are also available through: various social networks such as website, WhatsApp, Telegram,
Facebook, YouTube, Instagram,
Twitter: and community forums
Facebook; / uchumitv
Youtube:
/ @uchumitv
Instagram: / uchumi_tv
Twitter:https://twitter.com/Uchumitv_?t=ZIxhZ...
JamiiForums:https://www.jamiiforums.com/members/u...
Website-
Whatsap:+255
#bukoba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: