VIBE LA RC SENDIGA NA WANANCHI KWENYE KUSHEHEREKEA KUMBUKIZI YA RAIS SAMIA, WAPANDA MITI 500 KITETO
Автор: Bibititi Tv
Загружено: 2025-01-28
Просмотров: 203
Описание:
" Na leo hii katika kuadhimisha siku maalum ya mwana mazingira Duniani , Mh.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, sisi Manyara upendo wetu tumekuja kutolea hapa Kiteto, tutapanda miti 500 katika eneo hili ambalo ni Ofisi mpya ya Halmashauri ya wilaya ya Kiteto" ndivyo anavyoanza kuzungumza Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga.
Anasema zoezi hili la upandaji linaendelea katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wetu wa Manyara, lengo likiwa kuhakikisha Mkoa wetu unaendelea kutunza mazingira ili nayo yake yatutunze hapo baadaye.
"Ndugu zangu wa Kiteto na leo hii ni siku maalum wananchi wa Mkoa wa Manyara kwa ujumla tujikumbushe kuwa kila ifikapo January 27 huwa tunaadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mh.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambao sisi Kwa Mkoa tumesemaninupendo mkubwa kutoka Mkoa kwenda kwaMh.Dkt.Samia Suluhu Hassan" anasema Mkuu wa Mkoa huyo.
Aidha anasema " Sisi wananchi wa Mkoa wa Manyara tunakupenda sana, tunakutakia kila la kheri , Mwenyezi Mungu adhidi kukupa afya njema, uzima, hekima, busaraya kuongozataifa hili, tunakupenda na kukuombea kila lililokua la kheri katika siku hii na siku zingine zote zijazo ambazo Mungu amekuandikia hapa Duniani" anasema Sendiga .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: