#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2021-10-27
Просмотров: 7173
Описание:
Baada ya serikali kupitia wizara ya Ardhi chini ya kamati ya Mawaziri 8 kutatua baadhi ya migogoro ya ardhi iliyokuwa katika wilaya ya kiteto na Simanjiro mkoani Manyara Wanakijiji wa vijiji viwili vya Irikioshi oibor na Kimotorock vilivyopo wilayani Kiteto na Simanjiro wameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kurudishiwa baadhi ya ardhi waliyodai kuwa yao.
Kwa nyakati tofauti wananchi hao wameiyeleza Daily News Digital kuwa wamekuwa wakipitia kipindi kigumu cha mateso kutoka kwa mamlaka za ifadhi ya pori la akiba la mkungunero (TAWA ) NA TANAPA,
Vile vile wananchi hao wameiyomba serikali kuwaundia sheria kamili ya kuishi maeneo hayo yaliyopakana na ifadhi hili kuepusha mkanganyiko hapo baadae.
Serikali imefanikiwa kurudisha Ekari 4392 kwa kijiji cha kimotorock kilichopo Simanjiro kutoka katika ifadhi ya tarangire na kufanya mchakato shirikishi wa tathmini ya kubaini mipaka kati ya pori la akiba la mkongonero na kijiji cha Irikioshi oibor kwa ajili ya kuweka mipaka sahihi na elimu juu matumizi bora ya ardhi.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: