CAG AWAKABIDHI HATI SAFI VIONGOZI WA HALMASHAURI YA WILAYA KITETO MKOANI MANYARA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-07-20
Просмотров: 354
Описание: Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, mhandisi Tumaini Magessa amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kutobweteka baada ya kupata hati safi kwenye taarifa ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: