WANANCHI TUSIFICHE WATOTO WENYE CHANGAMOTO YA ULEMAVU MAJUMBANI:
Автор: Usambara Online tv
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 42
Описание:
Kauli hiyo ilitolewa na Rosse Mery Urasa ambae ni matroni wa watoto wenye ulemavu mbalimbali katika kituo jumuishi kilichopo katika kata ya magamba wilaya ya lushoto mkoa wa tanga siku ya uzinduzi wa siku ya kina mama duniani anbapo katika wilaya ya lushoto alizindua mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya lushoto dkt,Ikupa Harsoni Mwasyoge kwa kutoa zawadi mbalimbali kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya magamba.
Hata hivo mama Ikupa alijibu changamoto ya watoto wenye uhitaji mkubwa kwaajili ya vitanda vya dabo deka ambavyo kwao ni changamoto kubwa kwa wanao watunza pindi watoto hao wanapo pata uhitaji kwa kusema kua amepokea changamoto hiyo na atakaa na wataalam wake na kuchukua hatua haraka iwezekanavyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: