SIKILIZA ALICHOKISEMA AFISA MAENDELRO YA JAMII NA MRATI WA SIKU YA WANAWAKE WILAYA YA DUNIAN LUSHOTO
Автор: Usambara Online tv
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 67
Описание:
Afisa maendeleo ya jamii wilaya ya lushoto Asuvati Kivuyo anasema katika wilaya ya lushoto bado kuna changamoto ya ukatili wa kijinsi maana bado vito vitendo vya ubakaji na ulawiti na unyanyasaji kwa kwa jumla.
kauli hiyo aliisewa wakati anafanyiwa mahojiano na waandishi wa habari katika maazimisho ya siku ya wanawake ambapo maazimisho hayo yalifanyika katika kata ya magamba jimbo la lushoto.
Hata hivo Asuvati smesema kua ni lazima sasa taasisi husika zifanye kazi kubwa ya kutokomeza ukatili kwa wanawake na watoto kwa nguvu zote ukiwemo ulawiti na ubakaji kwa watoto wa kike na wakiume..
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: