MAGAMBA:DIWANI WA KATA YA MAGAMBA MHE,STELA KASHAMBA AWAOMBA VIJANA WAZIDI KUMUMISHA AMANI:
Автор: Usambara Online tv
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 59
Описание:
Kauli hiyo aliisema wakati akifungua kikao cha ziara ya mkuu wa wilaya ya lushoto mhe,Zephania Sumaye wakati alifanya ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi kuzitatua hapo hapo.
Hata hivo kabla ya kusikiliza kero hizo alikazia sana suala zima la amani katika wilaya ya kushutu kua izidi kudumishwa maana amani ni jambo la umuhimu kuliko tiku chochote nchini kote,na baada ya jambo zima la amani wananchi walianza kuuliza maswali mbalimbali ikiwemo swala zima la uchimbaji wa madini katika mlima wa Bughai uliopo katika kata hiyo ya magamba.
Nae mkuu wa wilaya alijibu swali hilo la wananchi kwa kusema yeye hawezi kutengua kauli ya mhe,Mwigulu Lameck Nchema wakati wa ziara yake katika wilaya ya lushoto kwakusema kua zilikua leseni za 45 za uchimbaji wa madini katika sehemu hiyo lakini leseni zilizopitishwa kisheria ni leseni 4 tu za kuchimba sehemu hiyo na kusema kua sehemu yenye nyumba haita chimbwa,na wataalam wamesema hakuna madhara yoyote katika uchimbaji huo..
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: