VIWANJA VYA MPIRA VINAVYOJENGWA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-02-18
Просмотров: 1236
Описание:
DODOMA: KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Serikali imeongeza ufadhili, kuboresha miundombinu ya kisasa, na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, hatua ambazo zimeleta mafanikio makubwa katika sekta ya michezo.
Miongoni mwa mafanikio hayo ni ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa uliogharimu shilingi bilioni 31 za Kitanzania. Aidha, ujenzi wa uwanja mpya wa michezo mkoani Arusha unatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 338 hadi kukamilika kwake.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Neema Msitha, amebainisha hay oleo Februari 18, 2025, wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Sita katika sekta ya michezo kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: