UWEKEZAJI DP WORLD WAZIDI KUPAA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 204
Описание:
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ina kila sababu ya kujivunia uwekezaji wa sekta binafsi kwenye Bandari za Tanzania kwakuwa imeongeza mapato na kupunguza mzigo wa serikali kuhudumia bandari.
"Mapato ya serikali kupitia kodi ya forodha yameongezeka kufika Sh trilioni 12.31 kwa mwaka 2024/2025 kutoka Sh trilioni 7.3 ya mwaka 2020/202," amesema Dk Samia.
Rais Samia ameeleza hayo leo Machi 03 kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, wilayani Kigamboni.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: