MWANA FA AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHA UCHAPAJI TSN
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 209
Описание:
DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amesema mkandarasi anayesimamia ujenzi wa jengo la kiwanda cha uchapaji cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) ameongezewa muda wa miezi mitatu ili kukamilisha ujenzi huo.
Mwinjuma Ameyasema hayo leo baada ya kutembelea mradi huo katika makao makuu ya TSN, Tazara jijini Dar es Salaam, ambapo amesema anaamini sehemu iliyobaki ya umaliziaji wa ujenzi huo itakamilika ndani ya muda huo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: