Mashine ya kutengeneza umeme kwa kutumia chupa za plastiki kwaanzia kilo moja
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-07-22
Просмотров: 634
Описание: Katika maonyesho ya 18 ya elimu ya juu,sayansi na teknolojia nchini, Chuo Kikuu cha Dar es salaam kupitia kitengo cha ubunifu na ujasiliamali waamekuja na mashine yenye uwezo wa kutengeneza umeme kwa kutumia chupa za plastiki , hayo yamesemwa na Daudi Edson Nzunda ambae ni mwanafunzi na pia ni mgunduzi wa mashine hio.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: