Mbunifu wa chanzo kipya cha nishati awaduwaza TANESCO/Umeme wa sumaku
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2021-01-25
Просмотров: 33527
Описание:
#TANESCO #Mbunifu #NishatiSumaku
Tunafahamu vipo vyanzo vingi vya kuzalisha umeme Duniani nchi ya Tanzania inazalisha umeme kwa kupitia Maji,Jua,Gesi,Upepo,Mafuta mazito na mepesi,mawimbi ya Bahari,
Wakati wataalam wanafanya utafiti wa Joto ardhi ili kuona kama je joto la ardhi litafaa kuzalisha umeme?
Jijini Dar es salaam katika eneo la Kawe Mzimuni mzee Rojas Msuya yeye ameonesha teknolojia mpya kabisa ya kuzalisha umeme kwa kutumia Sumaku kitu kilicho lishangaza zaidi Shirika la umeme Tanzania(Tanesco) na hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Dkt. Tito Mwinuka kufunga safari ili kujionea maajabu hayo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: