Exclussive: "Zinajenga Nyumba Imara" Kijana aliyekuja na wazo la kutengeneza TOFALI za Plastic
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-03-02
Просмотров: 1476
Описание: Kutana na Saraganda Joseph ambaye ni mwanafunzi wa Mwaka wa pili wa Chuo cha Elimu ya Biashara nchini Tanzania kampasi ya Dodoma ambaye alikuja na wazo la kutengeneza matofali ya plastic na wazo lake likashinda nafasi ya 6 kwenye mashindano yaliyoandaliwa na chuo hicho hapa anatueleza kuhusiana na wazo lake hilo na wapi limefikia kwenye mahojiano maalumu na mwananchi Digital.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: