KIINGEREZA CHAMNYANYUA SHINGO: SIKUMUOMBA MUNGU PESA, NILIOMBA UMAARUFU NIMEUPATA.
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 4456
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam, Bakari Shingo, amezungumzia tukio la kushindwa kuzungumza kwa ufasaha lugha ya Kiingereza ndani ya Bunge wakati akijinadi mbele ya wabunge kuwania nafasi ya kuwa muwakilishi wa Bunge la Nchi za Maziwa Makuu, tukio lililotokea jana.
Akizungumza katika mahojiano na chombo hiki, Shingo amesema kuwa kitufe cha kishkwambi (microphone) kiligoma kufanya kazi ipasavyo, jambo lililomchangia kushindwa kueleza hoja zake kama alivyotarajia.
Hata hivyo, Mbunge huyo amesema ana nia na matumaini ya kuomba ruhusa kwa Spika wa Bunge ili apate nafasi ya kwenda kujifunza lugha ya Kiingereza, akieleza kuwa lengo lake ni kurejea akiwa bora zaidi na mwenye uwezo mkubwa wa kuwasiliana katika majukwaa ya kitaifa na kimataifa.#BakariShingo#Ukonga#BungeLaTanzania#MaziwaMakuu #HojaBungeni#Uwajibikaji#UboreshajiBinafsi#SiasaTanzania #tmcnews565
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: