MAGUFULI ATAJWA MASHARTI YA MIKOPO: 'NI KAMA KUNA SERIKALI SABA NDANI YA NCHI,' INACHANGANYA-SIGRADA
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 337
Описание:
Mbunge wa Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo, ameendelea kuibua na kulalamikia changamoto zinazowakabili vijana katika upatikanaji wa mikopo, akiiomba Serikali kuyatazama upya masharti yaliyowekwa ambayo, kwa mujibu wake, si rafiki kwa wahusika.
Mbunge huyo amesema kuwa masharti hayo yamekuwa kikwazo kwa vijana wengi kunufaika na mikopo hiyo, jambo linalodhoofisha jitihada za kuwawezesha kiuchumi. Hata hivyo, ameshauri kuwa masharti hayo yalegezwe ili vijana wengi zaidi waweze kupata fursa ya mikopo na kunufaika nayo kwa usawa.#SigradaMligo#Njombe#MikopoYaVijana
#UwezeshajiVijana#BungeLaTanzania#MaendeleoYaVijana#Serikali#SeraZaMaendeleo#tmcnews565
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: