ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NENO LA SIKU | Mathayo 27 | Maombi Ya Kushinda Dharau | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-03-19

Просмотров: 5330

Описание: Leo tunasoma kitabu cha Mathayo sura ya ishirini na saba, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda dharau. Moja kati ya mambo yanayoharibu maisha ya watu na kuwafanya wakate tamaa ni dharau.

Inawezekana kwenye maisha yako umewahi kudharauliwa. Au inawezekana wazazi wako wamewahi kudharauliwa. Ni moja kati ya uzoefu mbaya ambao shetani anautumia kukwamisha na kuharibu maisha ya watu.

Lakini YESU analo jibu la nini tunatakiwa kufanya pale tunapodharauliwa na watu. Na siku ya leo tunaenda kufanya maombi maalum kwa ajili ya kushinda dharau zinazotoka kwa watu wengine na kuelekezwa kwetu.

Nami nakuombea YESU akupe ushindi katika maombi haya. YESU akupe heshima na akuvike vazi la sifa na utukufu. Ukauone mkono wa BWANA ukikuvusha na kukuheshimisha kwenye mambo yako yote.

Mungu akubariki sana na kukupa kibali na neema. Amen

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NENO LA SIKU | Mathayo 27 | Maombi Ya Kushinda Dharau | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

Mifupa Mikavu - Yusto Onesmo (Official Video).

Mifupa Mikavu - Yusto Onesmo (Official Video).

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

ОН НЕ БЫЛ ИЗБРАН — НО ИМЕННО ЕМУ СУЖДЕНО УВИДЕТЬ, КАК НАЧИНАЕТСЯ КОНЕЦ ВРЕМЁН! ДРАМА

ОН НЕ БЫЛ ИЗБРАН — НО ИМЕННО ЕМУ СУЖДЕНО УВИДЕТЬ, КАК НАЧИНАЕТСЯ КОНЕЦ ВРЕМЁН! ДРАМА

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi | Isaac Javan

Jinsi ya Kupika Ndizi za Nyama /Utashangaa nlivoandaa pishi la nyama ‼️ni taamu sana karibu

Jinsi ya Kupika Ndizi za Nyama /Utashangaa nlivoandaa pishi la nyama ‼️ni taamu sana karibu

USIKU MWEMA | Isaac Javan

USIKU MWEMA | Isaac Javan

MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)

MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)

Расслабляющая музыка, исцеляющая от стресса, беспокойства и депрессивных состояний, исцеляет #12

Расслабляющая музыка, исцеляющая от стресса, беспокойства и депрессивных состояний, исцеляет #12

NENO LA SIKU | Yohana 13 | Maombi Ya Kufunguliwa Hatua za Maisha

NENO LA SIKU | Yohana 13 | Maombi Ya Kufunguliwa Hatua za Maisha

NENO LA SIKU | Mathayo 21 | Maombi Ya Kuvunja Laana | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 21 | Maombi Ya Kuvunja Laana | Isaac Javan

3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

NENO LA SIKU | Marko 5 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Mauti | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Marko 5 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Mauti | Isaac Javan

ХРИСТИАНСКИЕ ПЕСНИ ИСЦЕЛЯЮЩИЕ ДУШУ — Сборник из 20 песен  — Maranatha Brothers

ХРИСТИАНСКИЕ ПЕСНИ ИСЦЕЛЯЮЩИЕ ДУШУ — Сборник из 20 песен — Maranatha Brothers

BWANA YESU Niponye | Isaac Javan

BWANA YESU Niponye | Isaac Javan

Moyoni Mwako jaza Neno la Mungu  kuliko maneno ya kwako || Brown Mwakipesile

Moyoni Mwako jaza Neno la Mungu kuliko maneno ya kwako || Brown Mwakipesile

NENO LA SIKU | Luka 1 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Utasa | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 1 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Utasa | Isaac Javan

SITAKUFA, NITAISHI - MAGONJWA YA KURITHI HAYATANIUA - Zaburi 118:17

SITAKUFA, NITAISHI - MAGONJWA YA KURITHI HAYATANIUA - Zaburi 118:17

MASWALI NA MAJIBU | Isaac Javan

MASWALI NA MAJIBU | Isaac Javan

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO - MWL. ISAAC JAVAN

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]