ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)

Автор: Isaac Javan

Загружено: 2020-10-10

Просмотров: 72982

Описание:   / isaacjavan  

BWANA YESU asifiwe.
Shetani anapotaka kukaa mahali kwa muda mrefu, huwa anafunga agano, na mtu binafsi, familia, au ukoo. Agano linampa shetani haki ya kisheria katika ulimwengu wa roho, ya kuendelea kukaa miaka na miaka bila kuondoka. Ili kuweza kutembea kwenye ushindi katika maisha yako, ni lazima kuvunja maagano yote yasiyokuwa ya ki-Mungu. Katika somo hili, tegemea kujifunza mambo yafuatayo:

1. Utajifunza nini maana ya agano
2. Utajifunza kutambua washiriki wa agano
3. Utajifunza namna ambavyo agano linafuatilia damu ya familia/ukoo
4. Utajifunza madhara ya kiroho yanayotokea pale agano linapovunjwa na wanafamilia/ukoo
5. Utajifunza maagano ya milango
6. Utajifunza njia bora zaidi ya kuvunja maagano kibiblia.

Maombi/Huduma (+255 745 76 45 72) (Email: [email protected])

Karibu sana, ubarikiwe na BWANA YESU milele. Ameen!

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

MAOMBI YA KUVUNJA  VIFUNGO VYA FAMILIA NA MADHABAHU ZA FAMILIA.

1. MAOMBI YA TOBA NA REHEMA YA NYUMBA YA BABA YAKO - MWL. ISAAC JAVAN - (Prayer Points)

3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

УТРЕННЯЯ МОЛИТВА. ОТКРЫВАЯ ДВЕРИ БЛАГОСЛОВЕНИЙ. Автор: Псевдоним Виктор Тулло

JINSI YA KUJINASUA KUTOKA KATIKA LAANA YA FAMILIA (PART 2) || PASTOR GEORGE MUKABWA || 16-10-2022

MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

2. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO - MWL. ISAAC JAVAN - (Mafundisho & Maombi)

NENO LA SIKU | Marko 8 | Maombi Ya Uponyaji Wa Nafsi | Isaac Javan

5. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan

1. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO - MWL. ISAAC JAVAN - (Mafundisho)

LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA

MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris

PART 1 :KUVUNJA MADHABAHU ZINAZOPINGA NA KUKAMATA HATIMA ZA WATU ||  18 JULAI, 2023

MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris

MAOMBI YA KUMFUNGUA MUME WAKO | Kufuta Matamko Ya Kuachana | MWL. ISAAC JAVAN

JINSI YA KUTAKASA LANGO LAKO LA NDOTO || PASTOR GEORGE MUKABWA | 03/10 /2024

MAOMBI YA USIKU YA UPONYAJI ,LIVE PASTOR GODWIN NDELWA

MAOMBI YA TOBA NA REHEMA YA DAMU YA BABA - MWL. ISAAC JAVAN - KKKT KISASA - (Prayer Points)

2. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]