ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

Автор: Neno La Siku

Загружено: 2024-03-20

Просмотров: 5661

Описание: Leo tunamaliza kusoma kitabu cha Mathayo, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda uzushi. Katika maisha tunayoishi, hakuna jambo baya kama kuzushiwa maneno ya uwongo na watu wakaamini.

Kuna watu wamekata tamaa ya maisha kwa sababu ya kuzushiwa maneno ya uwongo. Kuna watu wamepoteza marafiki kwa sababu ya kuzushiwa maneno ya uwongo. Kuna watu wametengana na wapendwa wao kwa sababu ya uzushi.

Kimsingi, uzushi ni kitu kinachoweza kuharibu maisha ya mtu. Lakini habari njema ni kwamba, YESU alishatuandalia majibu ya tatizo hili. Damu yake ilipomwagika, ilitufungulia njia ya kutembea katika ushindi ikiwa ni pamoja na kushinda roho za uzushi ziharibuzo.

Katika maombi ya leo, tunaenda kuomba YESU atufungue na kutuweka huru. Mahali popote ambapo uliwahi kuzushiwa jambo baya la uwongo, siku ya leo YESU anaenda kukuponya na pia anaenda kukurudishia vyote ulivyopoteza na anaenda kukupa heshima katika maisha yako. Kwa hiyo utakapokuwa unaomba, nakutia moyo ufanye maombi kwa kumaanisha, na utauona mkono wa BWANA ukikupigania na kukushindia.

Mwisho kabisa, napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kuungana nami katika usomaji huu wa biblia pamoja na maombi. Asante kwa wote uliowashirikisha waungane nasi katika maombi haya. Hongera sana kwa kufanikisha kusoma neno la Mungu kutoka kitabu chote cha Mathayo. Nakutia moyo, endelea kurudia maombi tuliyokwishafanya, mpaka uone umepata matokeo mazuri. Baada ya siku saba tutaendelea na kitabu cha Marko.

Mpaka hapo tutakapoonana tena, nakuacha na amani ya YESU. Damu ya YESU ikulinde na inene maneno mazuri kwa ajili yako. YESU akuonekanie na akuvushe katika mambo yako yote. YESU akupiganie na akutetee katika kila jambo linalogusa maisha yako. Neema ya KRISTO YESU isikupungukie. YESU akupiganie na akuweke panapo nafasi. Mungu Roho Mtakatifu akutie nguvu unapoendelea kurejea maombi tuliyokwisha fanya. Utunzwe na damu ya YESU tangu sasa na siku zote. Amen

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NENO LA SIKU | Mathayo 28 | Maombi Ya Kushinda Uzushi | Isaac Javan

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

EPUKA MAKOSA YA UTOAJI SADAKA | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 25 | Maombi Ya Kushinda Maziko Ya Kichawi | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 25 | Maombi Ya Kushinda Maziko Ya Kichawi | Isaac Javan

🔴#Live:HOJA NZITO ZA LISSU MAAMUZI YA SHAHIDI LEO/ MSIGWA AWAPA ZA USO CHADEMA MJADALA WAIBUKA

🔴#Live:HOJA NZITO ZA LISSU MAAMUZI YA SHAHIDI LEO/ MSIGWA AWAPA ZA USO CHADEMA MJADALA WAIBUKA

Deep Swahili Worship Mix Vol 1 (2026)- 1 Hour -Unastahili Kuabudiwa/Ombi Langu/Nataka Nimjue Yesu...

Deep Swahili Worship Mix Vol 1 (2026)- 1 Hour -Unastahili Kuabudiwa/Ombi Langu/Nataka Nimjue Yesu...

MAOMBI YA KUSHINDA ROHO ZA MAGONJWA

MAOMBI YA KUSHINDA ROHO ZA MAGONJWA

Zaburi za Kusikiliza Unapolala | God’s Word for Peaceful Sleep & Calm

Zaburi za Kusikiliza Unapolala | God’s Word for Peaceful Sleep & Calm

MAOMBI YA USIKU | NGUVU YA MAOMBI VITANI || PR DAVID MMBAGA

MAOMBI YA USIKU | NGUVU YA MAOMBI VITANI || PR DAVID MMBAGA

NENO LA SIKU | Mathayo 7 | Maombi Ya Kuvunja Misingi Ya Uharibifu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 7 | Maombi Ya Kuvunja Misingi Ya Uharibifu | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 24 | Maombi Ya Kusafisha Dhamiri Yako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 24 | Maombi Ya Kusafisha Dhamiri Yako | Isaac Javan

Zaburi Swahili | Good News | Audio Bible

Zaburi Swahili | Good News | Audio Bible

Софония (2026) | Полная история пророка Последнего суда

Софония (2026) | Полная история пророка Последнего суда

NENO LA SIKU | Mathayo 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Kwenye Kazi | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Mathayo 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Kwenye Kazi | Isaac Javan

TAREHE::2_2_2026::BADILISHA MTAZAMO, ACHA WOGA UTAKUFA MASIKINI NI WAKATI WAKO || PR.DAVID MMBAGA.

TAREHE::2_2_2026::BADILISHA MTAZAMO, ACHA WOGA UTAKUFA MASIKINI NI WAKATI WAKO || PR.DAVID MMBAGA.

NENO LA SIKU | Matendo 19 | Maombi Ya Kufungua Nguvu Ya Mikono  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 19 | Maombi Ya Kufungua Nguvu Ya Mikono | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan

Как Храм Соломона Был РАЗРУШЕН!

Как Храм Соломона Был РАЗРУШЕН!

Nyimbo Za Kuabudu || Best Swahili Worship Music Mix || Morning Worship Music || Nyimbo Za Maombi.

Nyimbo Za Kuabudu || Best Swahili Worship Music Mix || Morning Worship Music || Nyimbo Za Maombi.

NGUVU YA NENO KATIKA VITA YA KIROHO - Pr. David Mbaga

NGUVU YA NENO KATIKA VITA YA KIROHO - Pr. David Mbaga

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi  | Isaac Javan

NENO LA SIKU | Matendo 21 | Maombi Ya Kutakasa Nafsi | Isaac Javan

USINIPITE BWANA - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

USINIPITE BWANA - DEEP RELAX SWAHILI WORSHIP SONGS

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]