RASTAFARI TUNAONEKANA KAMA RAIA DARAJA LA PILI, WAZUNGUMZIA TAMKO LA SERIKALI
Автор: The Chanzo
Загружено: 2021-02-23
Просмотров: 6143
Описание:
The Chanzo imefanya mahojiano na Muhemsi Mwakihwelo, mmoja wa wanajamii wa imani ya ‘Rastafari’ pamoja na mwanachama wa Rastafari United Front (R.U.F).
Ameelezea mengi ikiwemo chimbuko la Imani yao, jinsi jamii inavyowachukulia, mmea wa cannabis sativa.
Pia ametoa maoni dhidi ya tamko la kamishna wa elimu Dr. Lybwene M. Mtahabwa kuwataka wanafunzi wa imani hiyo kuwa na kibali kinachowaruhusu wanafunzi hao kusoma shuleni wakiwa na rasta asilia.
Fuatilia mahojiano yote kupitia channel ya The Chanzo pekee.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: