Ibada ya waumini wa imani ya Rasta
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2018-02-16
Просмотров: 74002
Описание: Waumini wa imani ya Rasta hufanya ibada yao kila Jumamosi ambapo baada ya hapo hukusanya sadaka ikiwemo pesa, chakula na mavazi na kisha kuwapelekea watu wenye shida. Mwandishi wetu kutoka Mwanza, Tanzania Dotto Bulendu ametuandalia video fupi baada ya kuwatembelea Marasta wakati wakiendesha ibada yao kwenye bustani ya Lalibela, wilayani Nyamagana. Papo kwa Papo 16.02.2018
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: