PEDRO AJILIPUA AKIIVAA SIMBA, HATIMA YA PACOME, JOB ATABASAMU WANAVYOJIWINDA KUENDELEZA UBABE KESHO
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 2584
Описание:
Kocha wa Yanga, Pedro Gonçalves, amesema jambo moja alilojifunza ni kwamba kila mechi ina presha yake, hivyo ni lazima wajifunze namna ya kuikabili. Amesisitiza mechi dhidi ya Simba si tofauti na nyingine kwa kuwa zote zinahitaji maandalizi makini na umakini wa hali ya juu.
Pedro ameeleza Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kesho Machi 1, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, ina presha kama ilivyo mechi nyingine, lakini kikubwa kwao ni kuonyesha kiwango bora na kuhakikisha wanawashinda wapinzani wao.
Ameongeza maandalizi yao huwa ya jumla na ya kina. Wanapomchambua mpinzani, hawaangalii tu wachezaji muhimu, bali pia mtindo wa uchezaji katika nyakati tofauti za mchezo; wanapokuwa chini ya presha, wanapokuwa bila presha, katika mabadiliko ya mashambulizi (transitions), pamoja na mipira ya adhabu (set pieces).
Kocha huyo amewahimiza wachezaji wake kuwa tayari, kuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto za mechi hiyo na kutekeleza majukumu yao ipasavyo ili kufikia malengo ya ushindi.
Hadi sasa katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaongoza ikiwa napointi 28, huku Simba ikishika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 23.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: