JOTO DABI YA KARIAKOO, AMRI KIEMBA AIPA SIMBA MBINU YA USHINDI, AMTAJA PACOME, DEPU
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 3506
Описание:
Nyota wa zamani wa Simba, Yanga, na Azam, Amri Kiemba, ametoa mtazamo wake kuhusu namna anavyotazamia Dabi ya Kariakoo itakavyokuwa.
Kiemba amezungumzia ushindani na presha inayoambatana na mechi hiyo kubwa itakayopigwa Machi 1, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, akieleza matarajio yake kwa pande zote mbili kuelekea pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki.
Hadi sasa katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaongoza ikiwa napointi 28, huku Simba ikishika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 23.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: