Nchimbi: Mambo ya Kugombana Kivyama Siyapendi, Vyama vya Siasa Vimeundwa Kikatiba
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 3957
Описание:
Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameyasema haya wakati akitoa salamu za rambirambi baada ya misa ya kumwombea na maziko ya Mwadhama Kadinali Pengo.
"Nchi hii kila mtu ana nafasi na wajibu wa kuitumikia. Katika utumishi wa nchi yetu tusitegeane, kila mtu atumikie nchi yake kwa nguvu zake zote. Nimekuwa nikiyasema haya mara nyingi, mimi hata mambo ya kugombana kivyama vyama mimi siyapendi sana, ujinga tu. Nchi yetu moja, nchi yenu wote mnagombana nini? Mtakuwa mashahidi hata nilipokuwa Katibu Mkuu wa chama nikisia tu mwana CCM ameongea maneno ya hovyo dhidi ya upinzani nilikuwa nakemea mara moja. Kwa sababu ni ujinga tu. Kwa sababu vyama vya siasa navyo vimeundwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi."
Ibada ya mazishi ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo inayofanyika kituo cha Hija Pugu leo Februari 28, 2026
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: