Rais Samia Afurahishwa Kuona Agenda Yake ya Nishati Safi ya Kupikia Inafanyiwa Kazi
Автор: Samia TV
Загружено: 2024-09-27
Просмотров: 43
Описание:
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio kinara wa nishati safi kwa wanawake baranı Afrika, akiwa hapa shule ya Dkt. Samia wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma amefufahishwa kuona ajenda yake inafanyiwa kazi, shule hii ya bweni inatumia nishati safi ya kupikia vyakula vya wanafunzi wake.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: