MWENGE WAFUNGUA MRADI WA MAJI MBINGA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2023-04-23
Просмотров: 320
Описание: Kiongozi wa mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim amefungua mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 unaohudumia kata tatu za Matarawe,Ruhuwiko na Bethlehem katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: