SERIKALI YAJENGA SHULE MAALUM MAGUU
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2023-10-10
Просмотров: 149
Описание:
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mohamed Ally imekagua mradi wa ujenzi wa shule ya watoto wenye mahitaji maalum katika kata ya Maguu Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo serikali kuu na Halmashauri imetenga shilingi milioni 500 kutekeleza mradi huo kwa asilimia 100
Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma inaendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma ambapo hadi sasa imekagua miradi katika Halmashauri sita
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: