MRADI WA RUWASA WAKOSA NYARAKA - MWENGE WAAGIZA ZIPATIKANE NDANI YA SIKU MOJA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-04-26
Просмотров: 1132
Описание:
MRADI WA RUWASA WAKOSA NYARAKA - MWENGE WAAGIZA ZIPATIKANE NDANI YA SIKU MOJA...
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2024 GODFREY MNZAVA ameeleza kutoridhishwa na utaratibu uliotumika kukamilisha uboreshaji wa mradi mkubwa wa maji wa Sofi Mission uliopo wilayani Malinyi baada ya kubaini kuwepo kwa uzembe wa ufatiliaji na mapungufu katika ulipaji wa kodi na matumizi ya mfumo wa manunuzi kwa njia ya kidigitali NeST
Uboreshaji wa Mradi huo ni pamoja na ujenzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita
150,000 kwenye mnara wenye kimo cha mita sita, ufungaji wa mfumo rahisi wa kutibu maji, uboreshaji wa vituo 11 vya kuchotea majina ujenzi wa uzio kwa gharama ya shiklingi 156,955,962
chini ya Mkandarasi M/S DENNEZ ENGINEERING LTD wa
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: