ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Jarida la Habari za UN Januari 15, 2026

Автор: Habari za UN

Загружено: 2026-01-15

Просмотров: 219

Описание: #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #BBNJ

Baada ya takriban miongo miwili ya maandalizi,hatimaye Mkataba wa Kimataifa wa kulinda viumbe hai wa baharini kwenye Bahari Kuu, BBNJ unaanza kutumika tarehe 17 mwezi huu wa Januari. Hii ni baada ya mataifa 81 kati ya 140 yaliyotia saini mkataba huo, kuuridhia. Mkataba unawezesha usimamizi wa pamoja wa eneo la Bahari Kuu, ambako rasilimali zake ni pamoja na samaki na dutu za kijenetiki zinazotumika kwenye dawa, vitu ambavyo havipatikani kwenye eneo la baharí lililo kwenye mamlaka ya nchi moja moja. Sasa kuanza kutumika mkataba huo kuna maana gani? Assumpta Massoi wa Idhaa hii amezungumza na Mzee Ali Haji, Naibu Katibu Mkuu anayehusika na Katiba na Sheria katika Ofisi ya Rais, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar nchini Tanzania. Yeye aliongoza jopo la wataalamu wa Tanzania kwenye mjadala wa mkataba huu. Anaanza kwa kuelezea anapokea vipi hatua hii.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jarida la Habari za UN Januari 15, 2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Mafunzokwavitendo/Wahamiaji/Sudan

Mafunzokwavitendo/Wahamiaji/Sudan

KIJANA HAAMINI MACHO YAKE BAADA YA KUPATA MREMBO MZURI MWENYE MACHO YA KUVUTIA NDANI YA MR RIGHT-S04

KIJANA HAAMINI MACHO YAKE BAADA YA KUPATA MREMBO MZURI MWENYE MACHO YA KUVUTIA NDANI YA MR RIGHT-S04

Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Paradigms kinavyosongesha SDGs kupitia takataka

Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Paradigms kinavyosongesha SDGs kupitia takataka

Дела об убежище пересмотрят, отмена программы воссоединения

Дела об убежище пересмотрят, отмена программы воссоединения

Jarida la Habari za UN la Desemba 16, 2025

Jarida la Habari za UN la Desemba 16, 2025

MZEE WILLIAM AMURI YAKUTUMBA KATIKA MAZISHI YA  JEMEDARI ANYEMBWA UKO MAKAO MAKUU YA TARAFA LA FIZI

MZEE WILLIAM AMURI YAKUTUMBA KATIKA MAZISHI YA JEMEDARI ANYEMBWA UKO MAKAO MAKUU YA TARAFA LA FIZI

Uchaguzi Uganda 2026: Watu 7 wauawa katika ghasia. Katika Dira ya Dunia TV

Uchaguzi Uganda 2026: Watu 7 wauawa katika ghasia. Katika Dira ya Dunia TV

Mkataba wa aina yake wa kimataifa wa kuhifadhi viumbe hai baharini kuanza kutekelezwa

Mkataba wa aina yake wa kimataifa wa kuhifadhi viumbe hai baharini kuanza kutekelezwa

NILIWEKWA CHUMBA KINA WADUDU” MWANDAMBO AFUNGUKA ALICHOKUTANA NACHO POLISI

NILIWEKWA CHUMBA KINA WADUDU” MWANDAMBO AFUNGUKA ALICHOKUTANA NACHO POLISI

UVIRA : 🔴 LIVE – RETRAIT DES DERNIERS MILITAIRES DE L’AFC/M23, UNE FORCE NEUTRE ATTENDUE

UVIRA : 🔴 LIVE – RETRAIT DES DERNIERS MILITAIRES DE L’AFC/M23, UNE FORCE NEUTRE ATTENDUE

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 12. 12. 2025 | Swahili News

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 12. 12. 2025 | Swahili News

Salamu na maoni ya baadhi ya radio na televisheni washirika wetu kuelekea mwaka mpya 2026

Salamu na maoni ya baadhi ya radio na televisheni washirika wetu kuelekea mwaka mpya 2026

Kwanini Trump anataka kuichukua Greenland kwa nguvu? Katika Dira ya Dunia TV

Kwanini Trump anataka kuichukua Greenland kwa nguvu? Katika Dira ya Dunia TV

Machafuko DRC/Siku ya milima/Kilimo/UNMISS

Machafuko DRC/Siku ya milima/Kilimo/UNMISS

HABARI ZA UN TAREHE 06 JANUARI 2026

HABARI ZA UN TAREHE 06 JANUARI 2026

Abashaka gufata igihugu bazokijana hehe? Ninde ashaka kunsubirira? Rwasa ngo yibwe umugambi w’intara

Abashaka gufata igihugu bazokijana hehe? Ninde ashaka kunsubirira? Rwasa ngo yibwe umugambi w’intara

Jarida la Habari za UN la Januari 13, 2026

Jarida la Habari za UN la Januari 13, 2026

TUKIO LA MTOTO WA DARASA LA 5 MTWARA KUANGUSHWA KWENYE UNGO KISHIRIKINA/WAZAZI WALIA NA SERIKALI.

TUKIO LA MTOTO WA DARASA LA 5 MTWARA KUANGUSHWA KWENYE UNGO KISHIRIKINA/WAZAZI WALIA NA SERIKALI.

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

SIKIA BAGONZA ALIVYOMJIBU KIHONGOSI WA CCM BAADA YA KUMTAKA WARIOBA ASTAAFU VIZURI.

SIKIA BAGONZA ALIVYOMJIBU KIHONGOSI WA CCM BAADA YA KUMTAKA WARIOBA ASTAAFU VIZURI.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]