DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | 12. 12. 2025 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-11
Просмотров: 15335
Описание:
Jiunge nasi kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Asubuhi | Disemba 12, 2025 | Swahili News:
Idara ya ujasusi ya Ujerumani inashinikiza kuwepo kwa nguvu zaidi katika mapambano dhidi ya shughuli za kijasusi na hujuma, kutokana na vitisho vya Urusi, ili kuimarisha usalama wa Ujerumani. Hatua hiyo itamaanisha kufanyika kwa marekebisho ya sheria za usalama.
Matukio ya ubakaji yapatayo 81,388 yameripotiwa huko mashariki mwa Kongo katika kipindi cha miezi tisa ya kwanza ya mwaka huu wa 2025. Umoja wa Mataifa umesema, kupunguzwa kwa misaada ya Marekani kumesababisha uhaba mkubwa wa vifaa vya kuwasaidia waathiriwa baada ya ubakaji. Katika ripoti hii maalum ya Shirika la Habari la Uingereza (Reuters), watoto nchini Kongo wanasimulia ubakaji wa magenge na utumwa wa kingono uliofanywa na waasi wa M23.
#dwkiswahiliasubuhi #DWKiswahili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: