DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.03.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 12113
Описание:
Karibu kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.03.2026 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
Wanajeshi watatu wa Marekani wauawa kwenye shambulizi la Iran.
Trump asema uongozi wa Iran unataka mazungumzo na yuko tayari.
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vyazidi kupamba moto huku Iran ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani na Israel katika kanda hiyo. Tumekuandalia yanayojiri katika vita hivyo.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: