UCHAMBUZI | Kifo cha Ayatolla Khamenei na hatima ya nchi hiyo kisiasa
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 4299
Описание: Kufuatia kifo cha Ayatollah Khamenei, kiongozi wa juu wa Iran, dunia imejaa maswali kuhusu nani atakayekalia kiti chake cha uongozi. Khamenei alikuwa nguzo muhimu katika taifa la Iran, na kifo chake kumesababisha mabadiliko makubwa katika siasa za nchi hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: