DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 01. 03. 2.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 9311
Описание:
Hujambo na karibu katika Matangazo haya maalum mchana wa leo. miongoni mwa utakayoyasikia:-
Maelfu wafurika mitaani Tehran wakiomboleza kifo cha Kiongozi wa Juu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Televisheni ya taifa ya Iran yaripoti kifo cha Mkuu wa Majeshi, Abdolrahim Mousavi aliyeuwawa katika shambulizi. Alikuwa miongoni mwa viongozi 30 wanaolengwa.
Israel na Marekani zaendelea kuishambulia Iran katikati ya maombolezo ya kifo cha kiongozi wao Khamenei.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: