Jinsi Ufadhili wa NBC na Mkapa Foundation Unavyowainua Wauguzi Kutumiza Ndoto zao
Автор: Benjamin William Mkapa Foundation.
Загружено: 2025-07-22
Просмотров: 139
Описание:
Katika juhudi za kuboresha huduma za afya ya uzazi na maisha ya mama na mtoto, Mradi wa Mkapa Fellows chini ya ufadhili wa NBC Bank kwa kushirikiana na Benjamin Mkapa Foundation (BMF), umewezesha wauguzi wakunga waliokuwa kwenye ngazi ya Certificate kupata fursa ya kujiendeleza hadi Diploma katika vyuo mbalimbali nchini Tanzania.
Kutoka kwenye vituo vya afya vijijini hadi vyuoni, wakijifunza kwa nadharia na kwa vitendo, huku wakijiandaa kurudi kwenye jamii zao wakiwa na ujuzi wa hali ya juu wa kutoa huduma bora kwa mama na mtoto.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: