Balozi Dkt. Mpoki : Tanzania Inaweza Kujifunza Nini Kutoka Canada Kuhusu Bima ya Afya kwa Wote?
Автор: Benjamin William Mkapa Foundation.
Загружено: 2024-09-17
Просмотров: 293
Описание:
Katika mahojiano ya moja kwa moja na mtangazaji Salim Kikeke wa Crown Media, Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya amezungumzia ni jinsi Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwa Canada kuhusu Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote.
Mahojiano haya yalifanyika wakati wa Mkutano wa Kumbukizi ya Urithi wa Mkapa uliotanguliwa na Kongamano la Rasilimali watu wa Sekta ya Afya tarehe 29 Julai 2024, jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo haya, Dkt. Ulisubisya aliangazia mbinu ambazo Canada imezitumia kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa raia wote na jinsi Tanzania inaweza kuzitumia kuboresha mfumo wake wa bima ya afya.
#MkapaLegacy #HRHConference #MkapaFoundation #BMF
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: