Unapaswa kula vipi wakati wa ujauzito?
Автор: WikiElimu
Загружено: 2023-10-07
Просмотров: 79
Описание:
Ujauzito ni wakati mzuri na wenye mabadiliko mengi katika mwili wa mwanamke, lakini hii haimaanishi uongeze kula chakula mara mbili ya ulivyozoea. Tofauti na vile watu wengi wanavyoamini, hauhitaji kula kwa ajil ya watu wawili.
Dr. Mniko anazungumza #wikielimu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: