E HABARI MARCH 10 2026/NEMC YAKIFUNGIA KIWANDA CHA MARANILE KIBAHA KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 8
Описание: BARAZA la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekifungia kiwanda cha MARANILE kilichopo Misugusugu, Kibaha mkoani Pwani kinachojihusisha na uzalishaji wa kemikali aina ya ETHANOL na gesi ya CARBON DIOXIDE baada ya kubaini kiwanda hicho kimekaidi utekelezaji wa maelekezo ya mamlaka hiyo kwa kuendelea kutiririsha maji taka yasiyotibiwa na kusababisha athari kwa wananchi pamoja na uharibifu wa mazingira.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: