E HABARI MARCH 10 2026/UHABA WA MADARASA, MADAWATI NA VYOO WAIKABILI SHULE YA MSINGI MKATA HANDENI
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 57
Описание: LICHA ya serikali na wadau kuendelea kuboresha miundombinu ya shule ya msingi Mkata iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni mkoani Tanga bado shule hiyo inakabiliwa na upungu wa matundu ya vyoo 28, upungufu wa Madawati 300 pamoja madarasa 32 yakiwemo ya wanafunzi wenye mahitaji maalum hali hali inayosababisha baadhi ya wanafunzi kuwa watoro.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: