Wakazi wa mtaa wa Umoja 2 Nairobi wanahofia mlipuko wa magonjwa Juu ya maji taka
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 770
Описание:
Wakazi wa mtaa wa Umoja 2 wanahofia mlipuko wa magonjwa kutokana na kuziba kwa mabomba ya kupitisha maji taka.
Mabomba hayo yamezibwa kwa mwaka mmoja sasa. maji taka yametapakaa kote na kuhatarisha maisha haswa ya watoto. aidha kuna hofu kuwa maambukizi ya malaria kutokana na mbu. sasa wanaitaka serikali ya kaunti kuwajibika na kufungua mambomba ya maji taka ili kuzuia janga.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: