SHA: mgonjwa akwama India
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 450
Описание: Ahadi za afya bora kwa wote chini ya bima ya SHA zimegeuka msumari wa moto kwenye vidonda vya wagonjwa wanaotafuta matibabu ya kitaalamu ughaibuni. Ndio hali inayomkabili mwalimu mmoja ambaye amejipata kwenye njia panda katika hospitali moja nchini India ambako amekuwa akisubiri matibabu kwa miezi mitatu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: