Mkuu wa wilaya ya Mbarali anusulika kupigwa mawe na wanafunzi wa chuo- Mbeya.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2012-08-31
Просмотров: 5878
Описание: Mkuu wa wilaya ya mbarali mkoani Mbeya bwana Gulamu Husein Sekifu amenusulika kupigwa mawe na gari yake kuharibiwa vibaya na wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya huduma ya kwanza kilichopo Chimala wilayani Mbarali baada ya mkuu wa wilaya kukifunga rasmi chuo hicho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: