Ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbarali, Mbeya kufanyika leo
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-07-04
Просмотров: 3883
Описание:
Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Mbarali mkoani Mbeya, Francis Mtega inafanyika mchana wa leo kabla ya mwili wake kusafirishwa kuelekea Njombe kwa maziko yanayotarajiwa kufanyika katika kijiji cha Lugarawa.
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson watashiriki katika ibada ya kumuombea marehemu Mtega.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: