Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Azungumza na Wananchi wa Namanyere Muda Huu
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 1772
Описание:
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, leo Machi 9, 2026 anahutubia wananchi wa Namanyere katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa. Mkutano huu wa hadhara ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika kanda ya Rukwa, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: