ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925

Автор: Mwalimu Eliya

Загружено: 2025-11-30

Просмотров: 63

Описание: Jibu la Biblia
Katika Biblia, neno “mbingu” linatumiwa kumaanisha mambo matatu: (1) mbingu halisi; (2) makao ya kiroho; na (3) cheo kilichokwezwa au kutukuka. Japo kwa leo nitaelezea mambo mawili ya kwanza

Mbingu halisi. Katika kisa hiki, “mbingu” zinawakilisha angahewa, mahali ambapo upepo unavuma, ndege wanaruka, mawingu yanatokeza mvua na theluji, na umeme. (Zaburi 78:26; Methali 30:19; Isaya 55:10; Luka 17:24) Inaweza pia kumaanisha anga za juu, mahali ambapo kuna “jua na mwezi na nyota.”​—Kumbukumbu la Torati 4:19; Mwanzo 1:1.

Makao ya kiroho. Neno “mbingu” pia linawakilisha mbingu za kiroho, au makao ya kiroho, eneo ambalo liko juu zaidi na nje ya ulimwengu halisi wa kimwili. (1 Wafalme 8:​27; Yohana 6:​38) Mbingu hizo za kiroho ni makao ya Yehova Mungu, ambaye ni “Roho.” Pia ni makao ya malaika ambao ni viumbe wa roho walioumbwa na Mungu. (Yohana 4:​24; Mathayo 24:36) Nyakati nyingine, “mbingu” hurejelewa kama viumbe hai kuwakilisha malaika waaminifu, “kutaniko la watakatifu.”​—Zaburi 89:5-7.

Biblia pia inatumia neno “mbingu” kurejelea hasa sehemu fulani ya makao ya kiroho ambapo Yehova mwenyewe anakaa, “makao yake.” (1 Wafalme 8:​43, 49; Waebrania 9:​24; Ufunuo 13:6) Kwa mfano, Biblia ilitabiri kwamba Shetani na malaika waovu wangetupwa kutoka mbinguni, na hawangeruhusiwa tena kuingia mbele ya Yehova. Hata hivyo, bado wangeendelea kuwa katika makao ya kiroho.​—Ufunuo 12:​7-9, 12.

Cheo kilichokwezwa au kutukuka. Maandiko yanatumia neno “mbingu” kuwakilisha cheo kilichokwezwa, hasa kuhusiana na mamlaka ya kutawala.

Nadharia mbalimbali juu ya eneo la kuzimu zimewekwa mbele. Mtazamo wa jadi ni kwamba kuzimu ipo katikati ya dunia. Wengine hupendekeza kwamba kuzimu iko katika nafasi ya nje katika shimo nyeusi.

Katika Agano la Kale, neno lililotafsiriwa " Jehanamu l" ni Sheol; katika Agano Jipya, ni Hades (maana yake "isiyoonekana") na Gehena ("Bonde la Hinomu"). Sheol pia hutafsiriwa kama "shimo" na "kaburi." Sheol na Hades, zote hutaja makao ya muda ya wafu kabla ya hukumu (Zaburi 9:17; Ufunuo 1:18). Gehena inahusu hali ya milele ya adhabu kwa wenye dhambi waliokufa (Marko 9:43).

TAFADHALI KUMBUKA:
Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya.

ILANI YA HAKI MILIKI:
Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo,

ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 2, 220925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 2, 220925

Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025

Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025

Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 2, 2025

Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 2, 2025

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925

Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625

Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625

Россия объявила режим ЧС / Нанесены первые удары союзников

Россия объявила режим ЧС / Нанесены первые удары союзников

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925

Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925

Константа Капрекара

Константа Капрекара

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Ushauri wangu wa Bure kwako  | Mwl Eliya 1, 2025

Ushauri wangu wa Bure kwako | Mwl Eliya 1, 2025

Легендарный КТ315: транзистор, из которого построили советскую электронику

Легендарный КТ315: транзистор, из которого построили советскую электронику

Part2_USHUHUDA WA MARY K.BAXTER ALIYEPELEKWA NA YESU KUZIMU NA MBINGUNI NA KUSHUHUDIA MAMBO MAZITO

Part2_USHUHUDA WA MARY K.BAXTER ALIYEPELEKWA NA YESU KUZIMU NA MBINGUNI NA KUSHUHUDIA MAMBO MAZITO

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Neema Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925

Neema Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925

Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925

Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

Предсказание Мессинга о 6 января 2026: тайна, записанная на кассету

Предсказание Мессинга о 6 января 2026: тайна, записанная на кассету

ПЕЧЕНЬ УМИРАЕТ! 12 странных признаков повреждения печени

ПЕЧЕНЬ УМИРАЕТ! 12 странных признаков повреждения печени

ПОСЛЕДНЕЕ ПРЕДСКАЗАНИЕ МЕССИНГА: Что случится 6 января 2026 года? Тайна кассеты МК-60.

ПОСЛЕДНЕЕ ПРЕДСКАЗАНИЕ МЕССИНГА: Что случится 6 января 2026 года? Тайна кассеты МК-60.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]