ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 2, 220925

Автор: Mwalimu Eliya

Загружено: 2025-12-05

Просмотров: 27

Описание: Kwa nini kuelewa Biblia ni muhimu?
Wakati Filipo alipokuwa akienda Gaza, Roho Mtakatifu akamwongoza kwa mtu ambaye alikuwa akiisoma sehemu ya Isaya. Filipo alimwendea huyo mtu, aliona kile alichokuwa akisoma, na aliuliza swali hili muhimu sana:
"Je, unaelewa unachosoma?" (Matendo 8:30). Filipo alijua kwamba kuelewa ulikuwa mwanzo wa imani. Bila kuelewa Biblia, hatuwezi kuitumia, kuitii, au kuiamini.

SAIDIA HUDUMA KWA KUCHANGIA
Airtel money: +255 (0) 784 662 2210

KUSUDI LANGU:
►Kufundisha watu kumfahamu na kumjua Mungu (JEHOVA)
►Kufundisha watu kutembea katika nguvu za Roho Mtakatifu wa Mungu.
►Kuwatia moyo na kuwafundisha watu kumjua Mungu wao na kumtii.
►Kuwajulisha watu kwa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo.

► Youtube @ / @injilinjeyakutazakanisa
► Ungana nasi Instagram: / mwl.eliya

➲Ikiwa unapenda mafundisho yetu na ungependa kupata taarifa mpya kila wakati, tafadhali jiandikishe na ubonyeze kengele🔔 (karibu na kitufe cha kujiunga) ili kupokea taarifa mpya!!!

TAFADHALI KUMBUKA:
Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya.

ILANI YA HAKI MILIKI:
Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo,

ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 2, 220925

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925

טל אורנן:

טל אורנן: "המסר של שקמה ברסלר הגיע לעזה"

MAOMBI YA ASUBUHI ::: NGUVU YA ZABURI YA 91 ::: MCH DAVID MMBAGA

MAOMBI YA ASUBUHI ::: NGUVU YA ZABURI YA 91 ::: MCH DAVID MMBAGA

Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925

Mbinguni, Kuzimu na Jehanamu [Ni wapi?] | Mwal. Eliya Lsn 1, 170925

UCHAGUZI WA URAISI KUHAIRISHWA KENYA SABABU IZI APA

UCHAGUZI WA URAISI KUHAIRISHWA KENYA SABABU IZI APA

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Мухаммед Али против Ивана Драго! Этот Бой не Забыть...

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025

Je, Tunaweza kumjua Mungu? | Mwl Eliya Lsn 1, 2025

ПОСЛЕДНЕЕ ПРОРОЧЕСТВО МЕССИНГА: Что ждёт человечество 7 января на Рождество 2026?

ПОСЛЕДНЕЕ ПРОРОЧЕСТВО МЕССИНГА: Что ждёт человечество 7 января на Рождество 2026?

Не могу поверить что они вытворяют в этой церкви в США!

Не могу поверить что они вытворяют в этой церкви в США!

SIRI KUBWA KUHUSU VYAKULA SEH 1(ANGALIA VIDEO HII KABLA HAIJATOLEWA)

SIRI KUBWA KUHUSU VYAKULA SEH 1(ANGALIA VIDEO HII KABLA HAIJATOLEWA)

JINSI YA KUCHAGUA FUNGU LA KUHUBIRI

JINSI YA KUCHAGUA FUNGU LA KUHUBIRI

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: CHAKULA CHA BWANA NI MSALABA WA YESU KATIKA MFUMO WA CHAKULA.

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: CHAKULA CHA BWANA NI MSALABA WA YESU KATIKA MFUMO WA CHAKULA.

«Сыграй На Пианино — Я Женюсь!» — Смеялся Миллиардер… Пока Еврейка Не Показала Свой Дар

«Сыграй На Пианино — Я Женюсь!» — Смеялся Миллиардер… Пока Еврейка Не Показала Свой Дар

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

ПОСЛЕ СМЕРТИ ВАС ВСТРЕТЯТ НЕ РОДСТВЕННИКИ, А.. ЖУТКОЕ ПРИЗНАНИЕ БЕХТЕРЕВОЙ. ПРАВДА КОТОРУЮ СКРЫВАЛИ

⚡️ Жёсткий арест президента || Завершение спецоперации

⚡️ Жёсткий арест президента || Завершение спецоперации

Этот чай на ночь снижает сахар тише таблеток

Этот чай на ночь снижает сахар тише таблеток

ПОСЛЕДНЕЕ ПРЕДСКАЗАНИЕ МЕССИНГА: Что случится 6 января 2026 года? Тайна кассеты МК-60.

ПОСЛЕДНЕЕ ПРЕДСКАЗАНИЕ МЕССИНГА: Что случится 6 января 2026 года? Тайна кассеты МК-60.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]