PRESS | Kocha wa Yanga Pedro Goncalves atakavyoikabili Singida, awataja wachezaji walio na majeraha
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 880
Описание:
SINGIDA BLACK STARS vs YANGA SC: “…ni mechi ya ushindani, lakini tumejiandaa vizuri”, maneno ya Kocha Mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves akizungumzia mchezo wao kesho dhidi ya Singida Black Stars.
Amesema licha ya maandalizi waliyokuwa nayo kwa wachezaji ni Dhahiri wamejipanga kuondoka na alama tatu akimgusia pia Dickson Job akisema hafikiri kama atacheza katika msimu huu kutokana na majeraha aliyopata.
Kwa upande wa mchezaji wa timu hiyo Abdulnassir Mohamed amesema wachezaji wote wamejiandaa kuwa na mchezo mzuri kutokana na utayari walionao na maelekezo ya Kocha.
Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Airtel Stadium, Singida saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPL
(Imeandikwa na Katherini Shirima)
Mhariri|@rajjmsangi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: