ODM na UDA watakiwa kusitisha migogoro ya atakayewania wadhfa wa unaibu rais 2027
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 44
Описание:
Rais William Ruto amewataka viongozi wa chama cha UDA na wale wa ODM kusitisha migogoro ya nani atayewania wadhfa wa unaibu rais katika uchaguzi mkuu mwaka ujao.
Akizungumza wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa katika Ikulu ya Mombasa, rais Ruto amebaini kuwa viongozi wa vyama hivyo viwili wanajukumu la kuwaunganisha wakenya hivyo basi hawapaswi kuzozana kuhusu nyadhfa za uongozi serikalini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: