Upinzani wamshtumu Rais kwa kulenga kugawanya Mlima Kenya
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 2
Описание:
Viongozi wa marengo wa upinzani wamemsuta Rais William Ruto kwa walichosema ana nia ya kumtumia Naibu wake Profesa Kithure Kindiki kugawanya eneo la Mlima Kenya kwa vipande viwili, Mlima Kenya Mashariki na Mlima Kenya Magharibi.
Wakizungumza katika Ibaada ya Madhehebu mbalimbali eneo la Ithanga Kaunti ya Murang'a viongozi hawa wamesema Rais Ruto ameshindwa na majukumu aliyotwikwa na Wakenya ya kuliongoza taifa hili, wakisema ufisadi umekithiri katika sekta mbalimbali serikalini ikiwemo bima ya afya na ujenzi wa nyumba nafuu
ISAAC MUSYOKA NA TAARIFA ILE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: