Rais Ruto asema sekta za kibanfsi zitaanza kufadhili mashindano hayo mwaka ujao
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 9
Описание: Rais William Ruto amesema kuwa taifa la Kenya lina uwezo wa kuandaa mashindano ya hadhi ya kitaifa kama ilivyoshuhudiwa wakati wa mashindano ya Safari Rally Naivasha. Rais akisema kuwa kuanzia mwaka ujao sekta za kibinasfi nchini zitakuwa kipaumbele kufadhili mashindano haya ili pesa za umma zinazotumika na serikali zielekezwe kuwafaidi wananchi. Amezumguza haya katika hafla ya kuwatawaza washindi wa Safari Rally eneo la Naivasha
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: